Mwaka 2018 TABCO ilifanya mashindano ya kwanza ikiwa ni kama sehemu ya majaribio ya uendeshaji wa mashindano hayo. Mashindano hayo yaliandaliwa kwa kukitumia chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazai Dar es Salaam (DSJ) ambacho kina wanafunzi mahiri kwenye Tasnia ya Utangazaji. Mashindano hayo yalifanikiwa kwa kiwango cha juu ambapo washindi wanne (4) walipatakina na hivyo kuongeza chachu kwa Wanafunzi kujitahidi kufanya mafunzo ya vitendo kwa ufanisi zaidi kwa vile ndivyo haswa soko la sasa la ajira au kujiajiri linahitaji kwenye tasnia husika.
Kazi: Mtangazaji wa Redio na Runinga
Taasisi: Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC)
Grace Kingalame ni
Kazi: Mtangazaji wa Redio na Runinga
Taasisi: Entertainment FM (EFM) & Target Television (TVE)
Godwin Mawanja ni