Habari mbalimbali kuhusu ya TABCO


news image

Shindano la Utangazaji wa Redio na Runinga la (TABCO) - DSJ

2018-09-20

Katika jitihada za kuhakikisha kwamba TABCO inafanyika kwenye ubora uliokusudiwa. Baadhi ya mashindano ya majaribio yamekuwa yakiandaliwa ikiwa ni kwa nia ya kujifunza changamoto mbalimbali kabla ya kufanya shindano kubwa zaidi. Shindano la kwanza la majaribio la Utangazaji na Uandishi wa Habari lililosimamiwa na timu ya....

soma zaidi
news image

Fahamu Tabco

2018-06-17

Chuo cha uandishi wa habari Dar es Salaam (DSJ) kinakualika kushiriki katika mashindano yaurushaji wa matangazo kwa njia ya redio.

Mashindano haya yanalenga kuwaongezea ujuzi zaidi kwa wana habari wanaoibukia katika tasnia ya utangazaji na wale wenye vipaji ili kuweza kujiajiri na kuajirika....

soma zaidi
news image

Je, ni nini kitakufanya uwe Mtangazaji Bora?

2018-06-17

Unataka kuwa Mtangazaji wa Redio na Runinga mwenye umaarufu na weledi unahotajika kwa waajiri nchini na hata nje ya nchi? Suluhisho pekee ni kujiunga na Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam(DSJ) ambapo pamoja na kujifunza kwa vitendo juu ya kurusha matangazo kwa njia ya Redio, Runinga....

soma zaidi