Tanzania Broadcasting Competition (TABCO) ni Shindano la Utangazaji wa Redio na Runinga. Lengo la Shindano hili ni kukufanya uwe mjuzi zaidi na mwenye weledi wa kutosha katika fani ya Utangazaji. Hakuna kigezo wala masharti magumu ya kushiriki Shindano hili. Kinachozingatiwa zaidi ni Kipaji, hivyo siyo lazima uwe umesomea au unasomea chuo chochote kinachofundisha Tasnia ya Habari.
Karibu wewe, yule na mwingine kushiriki Shindano hili la kipekee nchini, Mshindi ni yeyote yule, shiriki na uibuke mshindi.
Ili uweze shiriki jiunge nasi sasa kwa kubofya kiunganishi hiki: TABCO 2020
Katika jitihada za kuhakikisha kwamba TABCO inafanyika kwenye ubora uliokusudiwa. Baadhi ya mashindano ya majaribio yamekuwa yakiandaliwa ikiwa ni kwa nia....