Mwaka 2019 Mashindano ya Majaribio (Pilot Season) ya Utangazaji wa Redio na Runinga (TABCO) yalifanyika kuanzia tarehe 31 Agosti, 2019 mpaka tarehe 21 Septemba, 2019 yakihusisha washiriki waliopo kwenye Mkoa wa Dar es Salaam tu. Mashindano hayakuwa na mipaka, hivyo Mshiriki yeyote aliweza kushiriki. Zaidi ya Washiriki 100 walijitokeza kuchukua fomu na kushindana. Washindani walipitishwa kwenye Hatua nne (4) muhimu ambazo ni: Hatua ya Mchujo (Audition), Robo Fainali na (Quarter final), Nusu fainali (Semi-final), and Fainali (Finale)
Kazi: Mtangazaji wa Redio na Runinga
Taasisi: Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)
Grace Kingalame ni
Kazi: Mtangazaji wa Redio na Runinga
Taasisi: Entertainment FM (EFM) & Target Television (TVE)
Godwin Mawanja ni
Kazi: Mtangazaji wa Redio na Runinga
Taasisi: Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC)
Shinuna Bakari ni