TABCO123
Anaitwa Matilda Peter, ni Mshindi wa Utangazaji Bora wa Vipindi vya Burudani katika Mashindano ya Utangazaji wa Habari yaliyofanyika mwanzoni mwezi Agosti, 2018. Mashindano haya yalifanywa mahsusi kwa ajili ya Chuo cha uandishi wa habari Dar-es-salaam School of Journalism kwa lengo la kuendeleza kukuza taaluma ya Uandishi wa Habari pamoja na kuinua vipaji vya wanafunzi katika kujifunza zaidi kwa mafunzo ya vitendo.