Je, TABCO ni nini?


Tanzania Broadcasting Competitioon (TABCO)ni Mashindano ya Utangazaji wa Redio na Luninga. Lengo la Mashindano  haya ni kukufanya uwe mjuzi zaidi na mwenye weledi wa kutosha katika fani ya Uandishi wa Habari na Utangazaji. Hakuna vigezo wala masharti magumu ya kushiriki mashindano haya. Kinachozingatiwa zaidi ni Kipaji, hivyo siyo lazima uwe umesomea au unasomea chuo chochote kinachofundisha Tasnia ya Habari.

Karibu wewe, yule na mwingine kushiriki mashindano haya ya kipekee nchini, mshindi ni yeyote yule, shiriki na uibuke mshindi. 

Ili uweze shiriki jiunge nasi sasa kwa kubofya kiunganishi hiki: TABCO 2019

Habari Mpya

MASHINDANO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI - TABCO


Ni shindano la utangazaji na uandishi wa habari lililofanyika mwanzoni mwa mwezi wa nane (8) mwaka huu 2018, Chuo cha uandishi wa habari Dar-es-salaam School....

Soma zaidi

Picha za hivi karibuni

Kikao cha Maandalizi ya TABCO

Tarehe ya Chapisho 2018-07-23

Tazama zote