placeholder

Jabir Hamisi

TABCO124

Michezo

Anaitwa Jabir Hamisini Mshindi wa Utangazaji Bora wa Vipindi vya Michezo katika Mashindano ya Utangazaji wa Habari yaliyofanyika mwanzoni mwezi Agosti, 2018. Mashindano haya yalifanywa mahsusi kwa ajili ya Chuo cha uandishi wa habari Dar-es-salaam School of Journalism kwa lengo la kuendeleza kukuza taaluma ya Uandishi wa Habari pamoja na kuinua vipaji vya wanafunzi katika kujifunza zaidi kwa mafunzo ya vitendo.